Kiswahili · Paper 2 · 2020
13 questions 🇹🇿 NECTA ✓ MS3-hour timed simulation · auto-graded · counts toward ranking
Pay & start exam →Questions (13)
Section A
The following words have more than one meaning. Construct two sentences for each word, differentiating the meanings.
- Kaa (3 mk)
- Tai (3 mk)
- Kata (3 mk)
- Kanga (3 mk)
Upgrade to see model answers.
Student Assessment Number:
- (0 mk)
- …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... (3 mk)
- …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... (3 mk)
- …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... …………………………………………………………………………………………….... (3 mk)
Upgrade to see model answers.
Section B
- Andika kichwa cha habari uliyosoma kwa maneno yasiyozidi matano. (5 mk)
- Mke wa mwandishi wa habari hii alikuwa na tabia ya namna gani? (3 mk)
- Ni jambo gani kubwa liletalo huzuni kwa watu wote lililomtokea mwandishi wa habari hii? (5 mk)
- Katika aya ya pili mwandishi ana maana gani anaposema uzuri wake ulikuwa kamili? (3 mk)
- Andika maana ya maneno au vifungu vya maneno kama vilivyotumika katika habari uliyosoma: Tunu (3 mk)
- Ni muda gani mwandishi wa habari hii aliishi na mkewe baada ya harusi yao? (5 mk)
- Andika maana ya maneno au vifungu vya maneno kama vilivyotumika katika habari uliyosoma: Kimo cha kadiri (3 mk)
- Andika maana ya maneno au vifungu vya maneno kama vilivyotumika katika habari uliyosoma: Adimu (3 mk)
- Andika maana ya maneno au vifungu vya maneno kama vilivyotumika katika habari uliyosoma: Safari ya watu wasikorudi (3 mk)
Upgrade to see model answers.
- Andika ufupisho wa habari uliyosoma kwa maneno sitini (60). (10 mk)
Upgrade to see model answers.
Fill in the blanks by using the causative form of the verbs. (i) Give (ii) Weed (iii) Remove (iv) Hit (v) Cry (b) Create one noun from each of the following verbs: (i) Raise (ii) Shave (iii) Cook (iv) Play (v) Read
- Piga (1 mk)
- Lia (1 mk)
- Cheza (1 mk)
- Soma (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Identify the abstract nouns in the following sentences: (a) The disease that occurred killed many people. (b) Fullness intoxicates people and animals. (c) Humans perish for lack of knowledge. (d) The village team got victory in yesterday's match. (e) Jumbe failed the exam because of pleasures. (f) The dress she wore looked good on her but beauty also contributes. (g) Laziness is a disaster for the nation.
- Ugonjwa uliotokea uliua watu wengi. (1 mk)
- Shibe hulevya watu na wanyama. (1 mk)
- Mwanadamu huangamia kwa kukosa maarifa. (1 mk)
- Timu ya kijiji ilipata ushindi katika mechi ya jana. (1 mk)
- Jumbe alishindwa mtihani kwa sababu ya starehe. (1 mk)
- Gauni alilovaa limempendeza sana lakini uzuri nao unachangia. (1 mk)
- Uvivu na janga la taifa. (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Section C
Explain the meaning of the following terms, give an example for each meaning of the term.
- Communication (0 mk)
- Syllable (0 mk)
- Language (0 mk)
- Vowel (0 mk)
Upgrade to see model answers.
Section D
Complete the following proverbs: (i) Ukitaka kujua asili ya mwanga ……….…………………………………………………… (ii) Ukitaka kujua raha ya mtu aliyesoma ...…………………………………………………… (iii) Jina jema ……………………..……….…………………………………………………… (iv) Haraka haraka ………………..……….…………………………………………………… (v) Mjukuu si mwana…………….……….……………………………………………………
- Ukitaka kujua asili ya mwanga ……….…………………………………………………… (1 mk)
- Ukitaka kujua raha ya mtu aliyesoma ...…………………………………………………… (1 mk)
- Jina jema ……………………..……….…………………………………………………… (1 mk)
- Haraka haraka ………………..……….…………………………………………………… (1 mk)
- Mjukuu si mwana…………….……….…………………………………………………… (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Solve the following riddles: (a) Gari langu halitumii mafuta ..……………………………………………………………… (b) Napigwa faini kosa silijui..………………………………………………………………… (c) Kamba yangu ndefu lakini haifungi kuni ..………………………………………………… (d) Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi..……………………………… (e) Nyumba yangu ndogo wapangaji wengi ...…………………………………………………
- Gari langu halitumii mafuta ..……………………………………………………………… (1 mk)
- Napigwa faini kosa silijui..………………………………………………………………… (1 mk)
- Kamba yangu ndefu lakini haifungi kuni ..………………………………………………… (1 mk)
- Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi..……………………………… (1 mk)
- Nyumba yangu ndogo wapangaji wengi ...………………………………………………… (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Section E
In not more than ten (10) words, use a text message to inform your sister Lulu Mwendokasi of P.O. Box 1012 Mwanza, that your mother is sick. Your name should be Mwasi Mwendokasi.
- Mama anaumwa sana Lulu. Mwasi. (10 mk)
Upgrade to see model answers.