Kiswahili · Paper 2 · 2004
14 questions 🇹🇿 NECTA ✓ MS3-hour timed simulation · auto-graded · counts toward ranking
Pay & start exam →Questions (14)
Section B
Which of the following is the definition of language? A. Language is words B. Language is sounds used in people's communication C. Language is an accepted and used system of communication in society. D. Language is a system of random human sounds with a special arrangement that has accepted meanings by society for communication.
Mention the contexts in which the following sentences can be used:
- Kati ya kauli zifuatazo, ipi ni fasili ya lugha? A. Lugha ni maneno B. Lugha ni sauti zinazotumika katika mawasiliano ya watu C. Lugha ni mfumo wa mawasiliano uliokubalika na kutumiwa katika jamii. D. Lugha ni mfumo wa sauti za binadamu za nasibu zenye mpangilio maalumu wenye kuleta maana zilizokubalika na jamii kwa ajili ya mawasiliano. (1 mk)
- Nimemuanzishia dozi ya dripu. (1 mk)
- Utusamehe sisi wakosefu ee Mungu! (1 mk)
- Zuia babu! Vichwa vitatu hivyo vinakuja. (1 mk)
- Chapa barua mbili niletee nizisaini ili ziondoke hapa. (1 mk)
- Chapa barua mbili niletee nizisaini ili ziondoke hapa. (1 mk)
- Napenda kujibu swali la nyongeza la mheshimiwa kama ifuatavyo. (1 mk)
- Napenda kujibu swali la nyongeza la mheshimiwa kama ifuatavyo. (1 mk)
- Sisi wote tutaondoka kesho jioni. (1 mk)
- Chai imengia sisimizi. (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Write the following sentences correctly:
- Sarufi ni . . . . . . (5 mk)
- Mwenyekiti aliwakilisha taarifa ya mapato na matumizi katika kikao. (1 mk)
- Naibeba nafasi hii kumkaribisha mgeni rasmi. (1 mk)
- Yule kijana huwaga hapendagi fujo. (1 mk)
- Sisi wote tutaondoka kesho jioni. (1 mk)
- Chai imengia sisimizi. (1 mk)
- Nilimwandikia barua lakini hakuipata. (1 mk)
- Mchezo wa mpira wa kikapu unapendwa na vijana (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Section C
Grammar is . . . . . . . Classify the underlined words in the following sentences: (i) Wanafunzi wale wamechelewa darasani. (ii) Uvuvi una madhara yake. (iii) Ambao ni washiriki watapewa zawadi. (iv) Nilimwandikia barua lakini hakuipata. (v) Mchezo wa mpira wa kikapu unapendwa na vijana
- Sarufi ni . . . . . . . (2 mk)
- Wanafunzi wale wamechelewa darasani. (1 mk)
- Uvuvi una madhara yake. (1 mk)
- Ambao ni washiriki watapewa zawadi. (1 mk)
- Nilimwandikia barua lakini hakuipata. (1 mk)
- Mchezo wa mpira wa kikapu unapendwa na vijana (1 mk)
Upgrade to see model answers.
Derive the following words in the causative, passive and reciprocal forms: CAUSATIVE PASSIVE RECIPROCAL (i) Lima (ii) Oga (iii) Fua
- Lima (3 mk)
- Oga (3 mk)
- Fua (3 mk)
Upgrade to see model answers.
Determine the functions of the underlined morphemes in the following words: (i) Si kukuona . . . . . . . (ii) Walioadhibiwa . . . . . . . .
- Si kukuona (2 mk)
- Walioadhibiwa (2 mk)
Upgrade to see model answers.
Section E
Fill in the blanks by choosing the correct answer from the list provided. (i) The origin of oral literature is ............ (ii) Oral literature is art presented through ......... (iii) To complete it in delivery, there must be ......... LIST People's conversations and narratives Artistry in human thoughts Systems of community life in politics, economy and culture Drawing Weaving Writing Speaking/telling orally Audience Actors Performer and audience
- Chimbuko la fasihi simulizi ni ............ (1 mk)
- Fasihi simulizi ni sanaa inayowasilishwa kwa njia ya .. (1 mk)
- Ili kuikamilisha katika kuwasilisha ni lazima pawepo na (1 mk)
Upgrade to see model answers.
(i) Mention five (5) elements of oral literature. (ii) Do storytelling narratives help children and youth? Mention six (6) benefits of stories for children and youth.
- Taja vipengele vitano (5) vya fani ya fasihi simulizi. (5 mk)
- Masimulizi ya hadithi yanawasaidia watoto na vijana? Taja faida Sita (6) za hadithi kwa watoto na vijana (7 mk)
Upgrade to see model answers.