← Back to papers
CSEE 🇹🇿 NECTA

Kiswahili · Paper 1 · 2015

17 questions

💰 Sit full exam 200 TZS

3-hour timed simulation · auto-graded · counts toward ranking

Pay & start exam →
Questions (17)

Section A

1. 4 marks

(a) Toa maana ya maneno yote yaliyokolezwa wino kama yalivyotumika katika habari uliyosoma. 5 mk
(b) Kwa mujibu wa habari uliyosoma, taja mambo mazuri mawili yatokanayo na uwepo wa katiba katika nchi. 4 mk
(c) Kwanini mwandishi anasema katiba hutumiwa kama sera kwa maslahi ya watawala? 5 mk
(d) Je, ni hofu gani aliyonayo mwandishi dhidi ya vijana kuhusu katiba? 4 mk
(e) Andika kichwa cha habari uliyosoma kisichozidi maneno matano (5). 2 mk
(f) Why is it important for citizens to understand the meaning of a constitution? 1 mk
(g) What are the consequences of citizens, especially youth, not making an effort to know their country's constitutions or provide opinions for the formation of a new constitution? 1 mk

Upgrade to see model answers.

Section B

4. 5 marks

(a) Eleza maana ya rejesta. 2 mk
(b) Kwa kutoa mifano, taja mambo muhimu matatu yanayomwongoza mtumiaji wa lugha katika uteuzi wa rejesta. 3 mk

Upgrade to see model answers.

5. 5 marks

(a) Mtu anayechunguza uhalifu. 1 mk
(b) Ng’ombe dume aliyehasiwa. 1 mk
(c) Chombo cha usafiri kinachopita juu ya vyuma. 1 mk
(d) Mti unaozaa matunda yanayotengenezwa kinywaji cha kahawa. 1 mk
(e) Sehemu ndogo ya nchi iliyochongoka na kuzungukwa na bahari katika sehemu zake tatu. 1 mk

Upgrade to see model answers.

6. 5 marks

(a) Shamba letu li kubwa sana. 1 mk
(b) Wlishelewa kurudi. 1 mk
(c) Tunalifuatilia. 1 mk
(d) Limeharibika. 1 mk
(e) Shikilia. 1 mk

Upgrade to see model answers.

7. 5 marks

(a) Ameshiba sana. 1 mk
(b) Watoto wengi wanaogelea. 1 mk
(c) Mvua ilinyesha kwa wingi sana. 1 mk
(d) Kijana anakula chakula kingi. 1 mk
(e) Mimi nasoma polepole. 1 mk

Upgrade to see model answers.

Section E

15. 15 marks

Mandhari iketeuliwa vizuri humsaidia mwandishi katika kufikisha yale aliyokusudia kwa jamii yake" Thibitisha hoja hiyo kwa kutoa mifano mitatu toka katika kila kitabu kati ya riwaya mbili zilizoorodheshwa. **LIST OF BOOKS** **Poetry** Wasakatonge - M.S. Khatibu (DUP) Malenga Wapya - TAKILUKI (DUP) Mashairi ya Chekacheka - T.A. Mvungi (EP & D.LTD) **Novel** Takadini - Ben J. Hanson (MBS) Watoto wa Maman’tilie - E. Mbogo (H.P) Joka la Mdimu - A.J. Safari (H.P.) **Drama** Orodha - Steve Reynolds (MA) Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe - E. Semzaba (ESC) Kilio Chetu - Medical Aid Founda

(a) Vigano ni nini? 1 mk
(b) Tunga vigano kwa kutumia methali isemayo "Umdhaniaye siye kumbe ndiye!" 1 mk

Upgrade to see model answers.

💡 Unlock all answers & explanations
Premium · 3000 TZS/mo