Kiswahili · Karatasi 2 · 2019
52 maswali 🏝 ZEC ✓ MSKiswahili · Karatasi 2 · 2019
52 maswali
Mtihani wa saa 3 wa muda · husahihishwa kiotomatiki · huhesabiwa kwenye nafasiMazoezi ya saa 3 · husahihishwa moja kwa moja · huhesabika kwenye nafasiMazoezi ya saa 3 · husahihishwa moja kwa moja · huhesabika kwenye nafasi
Lipa na anza mtihani →Maswali (52)
Sehemu A
a) What are the characteristics of people who have genuine feelings of love for their country? b) When is a society successful in becoming a nation? c) Mention four (4) factors that strengthen patriotism. d) Why has the author of this article asked us to be patriotic to our country? e) Explain the meaning of the underlined words as used in the article you read.
- Watu wenye hisia za mapenzi ya dhati kwa nchi yao huwa na sifa gani? (0 alama)
- Ni wakati gani jamii hufanikiwa kuwa na taifa? (0 alama)
- Taja mambo manne (4) yanayoimarisha utaifa. (0 alama)
- Kwa nini mwandishi wa makala hii ametutaka tuwe wazalendo kwa nchi yetu? (0 alama)
- Eleza maana ya maneno yaliyopigiwa mstari kama yalivyotumika kwenye habari uliyoisoma. (0 alama)
- Kwa mujibu wa habari, ni vitu gani viwili (2) ambavyo mtu anayeipenda nchi yake hawezi kuongozwa navyo? (3 alama)
- Ni vitu gani vinavyopaswa kuepukwa ili utaifa uweze kustawi? (2 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Summarize the information you have read above in not more than fifty (50) words.
- Summarize the information you have read above in not more than fifty (50) words. (50 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
a) Explain the reasons why slang has the following characteristics:- i) Slang is unstandardized language ii) Slang emerges and disappears b) Name two (2) types of dialogue. c) Explain with examples two (2) things that make language fluent. d) i) What is the meaning of synonyms? ii) Give two (2) examples of synonyms in Swahili. e) Explain the three (3) main parts of a dictionary.
- Slang is unstandardized language (0 alama)
- Bainisha sababu zinazopelekea misimu kuwa na sifa zifuatazo:- i) Misimu ni lugha isiyosanifu ii) Misimu huzuka na kutoweka (0 alama)
- Taja aina mbili (2) za dayalojia. (0 alama)
- Slang emerges and disappears (0 alama)
- Eleza kwa mifano mambo mawili (2) yanayoifanya lugha kuwa fasaha. (0 alama)
- i) Nini maana ya visawe? ii) Toa mifano miwili (2) ya visawe katika lugha ya Kiswahili. (0 alama)
- Eleza sehemu kuu tatu (3) za Kamusi. (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Fill in the correct information on the following letter envelope:-
- Fill in the correct information on the following letter envelope:- (0 alama)
- Explain the procedures you are supposed to follow when sending a letter by post. (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sehemu B
Explain with examples the concept of derivation in the following word classes. i) Noun derivation ii) Pronoun derivation
- Explain the concept of subject and predicate in a sentence, using an example. (10 alama)
- Explain the concept of subject and predicate in a sentence, using an example. (0 alama)
- Construct sentences using the following word classes:- i) Unique pronoun ii) Relative pronoun (0 alama)
- Explain two contributions of affixation in the formation of Swahili words. (0 alama)
- Give two reasons why we should learn Swahili grammar. (0 alama)
- Explain, using examples, the concept of derivation in the following word classes: i) Noun derivation (0 alama)
- Possessive pronoun (0 alama)
- Noun derivation (0 alama)
- Relative pronoun (0 alama)
- Pronoun derivation (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
e) i) What is the meaning of art? ii) Name two (2) branches of art.
- Taja vigezo viwili (2) vinavyotumika kuhakiki kazi za fasihi. (0 alama)
- State two (2) criteria used to authenticate literary works. (2 alama)
- Mvumilivu hula mbivu (0 alama)
- Explain the meaning of the term 'Vifaa bubu' as used in literature. (2 alama)
- Complete the diagram by filling in the parts of a story. (5 alama)
- What is the meaning of art? (1 alama)
- Kikulacho ki nguoni mwako (0 alama)
- Explain the meaning of the term 'Falsafa' as used in literature. (2 alama)
- Name two (2) branches of art. (2 alama)
- (0 alama)
- (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
a) Explain two (2) best ways of preserving oral literature. b) Differentiate between the pindu poetic style and the kidato poetic style. c) Explain the concept of characterization and characters in oral literature. d) Mention two (2) things that make a poem singable. e) Briefly explain two (2) types of literature.
- Fafanua njia mbili (2) bora za kuhifadhi fasihi simulizi. (0 alama)
- Tofautisha kati ya mtindo wa mashairi wa pindu na ule wa kidato. (0 alama)
- Eleza dhana ya uhusika na wahusika katika fasihi simulizi. (0 alama)
- Taja mambo mawili (2) yanayolifanya shairi liimbike. (0 alama)
- Eleza kwa ufupi aina mbili (2) za fasihi. (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sehemu C
c) Show the difference between a morpheme and an affix.
- Classify the underlined words in the following sentences:- i) Who is to blame between you and me? ii) The parent nearly fainted with anger. (0 alama)
- Explain the functions of the morpheme "wa" in the following verbs: i) Aliwazomea ii) Wanacheza (6 alama)
- Analyze the following words into transitive and causative forms. WORD TRANSITIVE FORM CAUSATIVE FORM i) Break ii) Pay (0 alama)
- Show the difference between a morpheme and an affix. (0 alama)
- Identify the morphemes indicating noun classes in the following words: i) Ukikitupa ii) Mtakapowaona (6 alama)
- Derive the following words into the causative and reciprocal voices. WORD CAUSATIVE VOICE RECIPROCAL VOICE i) Vunja ii) Lipa (6 alama)
- Classify the underlined words in the following sentences: i) Nani wakulaumiwa kati ya mimi na wewe? ii) Mzazi alikaribia kuzimia kwa hasira. (6 alama)
- Show the difference between a morpheme and a prefix. (6 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Compose six (6) stanzas of a two-character ngonjera about 'Conservation of our Natural Resources'.
- Tunga beti sita (6) za ngonjera ya wahusika wawili kuhusu ‘‘Utunzaji wa Maliasili zetu’’. (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sehemu D
Write an essay of between 120 and 150 words on "The Culture of Zanzibaris". OR Write an essay of between 120 and 150 words agreeing with the argument that "Free Education in Zanzibar is a liberator for the citizens".
- Write an essay of between 120 and 150 words on "The Culture of Zanzibaris". (20 alama)
- Write an essay of between 120 and 150 words agreeing with the argument that "Free Education in Zanzibar is a liberator for the citizens". (20 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sehemu E
i) What is the meaning of art? ii) Mention two (2) branches of art.
- Toa mifano miwili (2) ya visawe katika lugha ya Kiswahili. (0 alama)
- Eleza sehemu kuu tatu (3) za Kamusi. (0 alama)
- Nini maana ya sanaa? (0 alama)
- Taja tanzu mbili (2) za sanaa. (0 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.