Kiswahili · Karatasi 1 · 2021
13 maswali 🇹🇿 NECTA ✓ MSKiswahili · Karatasi 1 · 2021
13 maswali
Mtihani wa saa 3 wa muda · husahihishwa kiotomatiki · huhesabiwa kwenye nafasiMazoezi ya saa 3 · husahihishwa moja kwa moja · huhesabika kwenye nafasiMazoezi ya saa 3 · husahihishwa moja kwa moja · huhesabika kwenye nafasi
Lipa na anza mtihani →Maswali (13)
Sehemu A
Identify four things to consider when preparing a Kiswahili lesson.
- Bainisha mambo manne ya kuzingatia wakati wa uandaaji wa Somo la Kiswahili. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Briefly explain four characteristics of traditional poems.
- Fafanua kwa kifupi sifa nne za mashairi ya kimapokeo. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Briefly analyze four factors that can damage teaching and learning materials.
- Kuchambua kwa kifupi mambo manne yanayoweza kuharibu zana za kufundishia na kujifunzia. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Explain the meaning of the following terms using two examples for each term: (a) Sentence. (b) Clause
- Eleza maana ya istilahi Sentensi kwa kutumia mifano miwili. (2 alama)
- Eleza maana ya istilahi Kishazi kwa kutumia mifano miwili. (2 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Explain four differences between the participatory method and the weak participatory method.
- Fafanua tofauti nne zilizopo kati ya njia shirikishi na njia shirikishi hafifu. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Using two examples for each, explain the meaning of the following terms: (a) Static instruments (b) Moving instruments
- Kwa kutumia mifano miwili kutoa maana ya istilahi Ala tuli. (2 alama)
- Kwa kutumia mifano miwili kutoa maana ya istilahi Ala sogezi. (2 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
State four characteristics of a Kiswahili lesson summary.
- Taja sifa nne za muhtasari wa somo la Kiswahili. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
(a) Define comprehension. (b) Briefly explain two types of comprehension.
- Toa maana ya ufahamu. (1 alama)
- Eleza kwa kifupi aina mbili za ufahamu. (3 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
State four functions of the National Kiswahili Council (BAKITA) in promoting and spreading the Kiswahili language.
- Taja kazi nne za Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Identify two education stakeholders and explain how they benefit from assessment results.
- Taja wadau wawili wa elimu kisha kuonesha namna wanavyonufaika na matokeo ya upimaji. (4 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sehemu B
Using linguistic evidence, prove that 'Kiswahili is a Bantu language' while providing various examples from Kiswahili and other Bantu languages.
- Tumia ushahidi wa kiisimu kuthibitisha kwamba ‘ Kiswahili ni Kibantu’ huku akitoa mifano anuai kutoka katika lugha ya Kiswahili na lugha nyingine za Kibantu. (15 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Using five arguments, show how the artist has used the technique of imagery to evoke various themes using the poetry collection KARIBU NDANI.
- Kwa kutumia hoja tano, onesha namna msanii alivyotumia mbinu ya taswira katika kuibua dhamira mbalimbali kwa kutumia diwani ya KARIBU NDANI. (15 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Read the poem and answer questions related to the poem you have read. (a) Suggest a suitable title for the poem.
- Pendekeza kichwa kinachoweza kuwa muafaka kwa shairi alilosoma. (5 alama)
Boresha ili kuona majibu ya mfano.