Mathematics · Karatasi 1 · 2014
25 maswali 🇹🇿 NECTA ✓ Majibu rasmi ya NECTAMathematics · Karatasi 1 · 2014
25 maswali
Mtihani wa saa 3 wa muda · husahihishwa kiotomatiki · huhesabiwa kwenye nafasi
Lipa na anza mtihani →Sehemu A
9 + 117 + 1018 =
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
1340 - 685
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
314 × 14
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
13)8099
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Jumlisha: 27 + 18 = ______ (Andika jawabu kwa namba za kirumi).
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Badili XVII kuwa namba za kawaida.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
1/12 + 5/12 + 4/12 =
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
11/14 - 8/14 =
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Andika sehemu iliyotiwa kivuli.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Kuna mistari minyoofu mingapi katika mchoro ufuatao?
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Urefu wa mstatili ni meta 50 na upana wake ni meta 40. Tafuta eneo lake.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Tafuta eneo la mraba ambao urefu wa upande wake mmoja ni meta 30
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Tafuta mzingo wa mraba huu.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
m30 + m45 =
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Badili mm 20 kuwa sentimeta.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Badili kilogramu 4 kuwa gramu
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Mama anahitaji lita 2 za maziwa. Je atanunua paketi ngapi za maziwa za ½ lita?
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Saa Dakika 6 45 + 2 59
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Saa Dakika 8 00 - 2 50
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Andika muda ufuatao kwa tarakimu. Saa kumi na mbili kasoro robo.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Idadi ya wakazi katika vijiji vitatu imeoneshwa kewenye grafu ya muhimili ufuatao. Tafuta jumla ya wakazi wa vijiji vyote vitatu.
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sh. St. 2680 30 + 130 60
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sh. St. 1850 00 - 99 25
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Sh. St. 120 30 x 4
Boresha ili kuona majibu ya mfano.
Caroli alinunua bidhaa zifuatazo: machungwa 3 @ Sh. 100, embe 7 @ Sh. 350, mapapai 9 @ Sh. 1000 na paketi 10 za maziwa @ Sh. 650. Alilipa kiasi gani cha fedha kwa bidhaa zote?
Boresha ili kuona majibu ya mfano.